Hata siwezi kudhubutu kugoma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umegoma kunijibu au?
Unaniruka mpenda misambwanda mwenzangu? Kulikoni?Kaka unaye kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ungeweka vizuri watu wanaweza jua cole Williams mimi PM yangu ikajaa wakiomba autography hahahaDuhh!! Mzee wa liver kama ulikuwa unatumia kimea badilisha,kipindi hiki utapata hasara maana utakuwa haulewi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jibapa baba ndio inaendana na timu kama Man u,Arsenal, Liverpool(msini rarue bure mpira niliacha kuangalia vile Andy Cole ameondoka Man u)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You are the sunshine of my life
Wee nawe hadi useme[emoji23][emoji23][emoji23]eti anakuja kunisutaMbona bado upo somalia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kakaako ndio nanii wa pale walip😵vaAah hii comment imenirudisha tena nanii wa nani?
Akiji rip rambirambi napokea mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukitaka kujua watu wanakupenda jiRip tu
Mbona natumia vyote lakini usingizi kama kawaidaUTUMIAJI VILEVI
Utumiaji wa kahawa, nicotine na pombe au vinywaji kama kahawa, chai, cola na vingine vyenye ‘caffeine’ ni miongoni mwa vitu vinavyosisimua mwili na hivyo kuleta hali ya kukosa usingizi.