Cole kufungwa kwa Chelsea umefurahia sana
Kweli kabisa broUnaniruka mpenda misambwanda mwenzangu? Kulikoni?
Usiogope. Kila mtu ana akipendacho japo kwa siri siri (dark fantasies/secrets). Watu wakiamua kufunguka hapa utashangaa. Si ajabu sisi wapenda misambwanda (japo kwa kuiangalia tu) tutaishia kuonekana watakatifu kabisa. Mioyo ya binadamu imeficha mengi!!!
Kwa jinsi jamaa huyu alivyokuwa akifanya kazi, watu walimwita Bwana Kazinyingi. Hakuwa na muda wa kukaa na kuongea na mkewe na watoto wake. Ingawa alikuwa na nyumba nzuri, fanicha bora na vifaa vya kisasa kama vile televisheni, video na vinginevyo, kamwe hakuwa na muda wa kuvifaidi.
AMUN RA10:00
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSES are on my side forever
Kutoka wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]narudi dar kwaajili yake ajiandae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
And Cole na pacha wakeUngeweka vizuri watu wanaweza jua cole Williams mimi PM yangu ikajaa wakiomba autography hahaha
Good[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji109][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi liver liver na Mimi na bapa kama kawaida Vat 69 ndio makazi