Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji122][emoji122][emoji122]Kujua wewe ni Nani na unataka nini kwenye Maisha ni Jambo jema sana litakusaidia
Aaah andjul[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kakaako ndio nanii wa pale walip😵va
KibitiKutoka wapi?
WordWanasemaga no Risk No reward
Lakini sio kila risk ni ya kuichukua jitahidi uwe unafanya tathmini ya hiyo risk
Na kila siku usiwe unajifunza kutokana na makosa yako mara nyingine utapotea kabisa
[emoji101] [emoji101] [emoji101]Usiichukulie Afya yako mzaha mzaha, kuwa nayo makini sana penda ku fikiri nini kitatokea uki risk afya yako kwa Mambo ya kawaida kawaida
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]