Yule member aliesema afatwe fb alikuja na uzi mama ubuyu akaita mods walete ufafanuzi sasa sijui ufafanuzi unafanana na delete yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kulikuwa na nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]kashalala yule acha tujinafasiAnakuona ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeehh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee jamaa wewe!!! Kichwa chenyewe kinapoteza netiweki kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila mambo haya![]()
Yanaweza kukuburudisha na ukalala.Lakini iwe ni LOCAL CHAMPION isiwe PAY PER VIEW[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukitaka wasije weka ya sura ngumuHahahaa avatar zinadanganya watu kweli
Tukienda China kwenye honeymoon, supu yetu kila asubuhi itakuwa ni supu ya nyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kudadeki siwapendi hwa viumbe
YeahKweli?