Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Anakonda huyoWatu wanaoogopa majoka wakiona hii picha ni shida...Nyoka gani huyu Bob?
Anakonda huyoWatu wanaoogopa majoka wakiona hii picha ni shida...Nyoka gani huyu Bob?
Basi ndo ujiandae na uvumilieNikiweka sura ngumu ntakosa likes za bure bure haha
Fascinating
Fascinating
Basi ndo ujiandae na uvumilie
Si unajua tumetofautiana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Vibumbu msipokuwa makini havitawaacha salama !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me ntakuwa sinywi supu.... babe china tutalishwa hadi mende tutaenda Koromije tuuuTukienda China kwenye honeymoon, supu yetu kila asubuhi itakuwa ni supu ya nyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kavamia anga zangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cc:mzee wa tukuyu[emoji23][emoji23][emoji23]