andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Kuna muda tips zako zina mlenga mtu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pombe pia huwa ni chanzo cha mtu kulala haraka lakini husababisha kushindwa kupata usingizi mzuri na kusababisha mtu kuamka mara kwa mara nyakati za usiku.