Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me ntakuwa sinywi supu.... babe china tutalishwa hadi mende tutaenda Koromije tuuu
Mende hapana. Wana sumu wale. Redio moja kule Florida walifanya mashindano ya kula mende wabichi laivu mshindi wa kwanza akafakamia mende kibao lakini hali yake ilibadilika pale pale wakamkimbiza hospitali bahati mbaya akaRIP na zawadi ($850) akaikosa. Tutakula vilivyozoeleka tu kama konokono, panya, nyoka, mbwa, jongoo na makorokocho mengine.
1c58730abdfb74620cf0c341a42c1e83.jpg
 
Back
Top Bottom