Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii kali yani nimevuta picha mpaka nimejisikia hovyo.....

[emoji3] [emoji3] [emoji3] hivyo vilivyozoeleka utakula wewe si wajua tuu mwili mmoja ukila wewe mimi nashiba babe[emoji23] [emoji23]
Unanitekeleza kisa konokono? Ni katika shida na raha mama. Na hii ni raha/adventure. Kwenye shida sasa itakuwaje?
 
Kweli kabisa mkuu.Mimi hii kitu napenda kwa kuangalia hata iwe kwenye picha ya kuchora.Itabidi niende kwa Dk.Numbisa ili nijue nimepungukiwa na nini ...
Jiandae kwa sessions ndefu za psychotherapy. Pengine itabidi hata diet ubadilishe. Ulaji wa makomamanga kwa sana unakuhusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
0cfe783bc0c881288189750a8a0104a1.jpg
 
Mbona natumia vyote lakini usingizi kama kawaida
Ukiona una lala kwa wakati ujue eidha umemaliza kulipa mkopo,umelipa ada za watoto,fundi hakudai,hard ware umelipa deni,biashara hazisumbui,boss haja kutishia kukuachisha kazi usipo jirekebisha,wife alikuwa na simu yako na hajakuuliza chochote kuhusu kilichomo au hauna majukumu yoyote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom