carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Dr hadi wewe umekosa usingizi leo?[emoji2][emoji2]Unywaji wa kahawa nyakati za jioni au usiku huweza kumsababisha mtumiaji kukosa usingizi nyakati za usiku. ‘Nicotine’ ambayo hupatikani kwenye sigara ni miongoni mwa kemikali zinazosababisha kukosa usingizi.
Jirani habari ya uzimaUpengo
Ulirudi tena?ulisahau nini?[emoji23][emoji23][emoji23]Nazingatia ushauri wa daktari nimeamka kusoma hii post yako ngoja nilale tena. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anaota likes huyo[emoji23][emoji23][emoji23]Utakuwa unalala kama sungura! Macho anakuwa kayakodoa wakati yupo in deep sleep!
Tupo shemeji. Jumapili hii mbona mapema sana? Tayari kwenda chachi ama?Habarini ya kuamka mlio amka
Hata sielewi kwakweli ila tangu tar1 mwezi huu hajaonekana humu...Joseverest ni kweli ka-RIP kama wanavyodai?
Habarini ya kuamka mlio amka
Kwenye mazingira ya kutatanisha mana haieleweki kama alitoroka au aliachiwaKwani Roma alipatikanaje?
Nakusalimia shemeji,habari yakoKwani Roma alipatikanaje?
Yegomasika nakuona kama kawaida