Nina mengi ya kichangia kwenye hiliInvestors hao walikuwa wamezoea kutolipa kodi hao na kuigeuza nchi yetu shamba la bibi. Mbona huko kwao ukicheza na kodi zao wanakufunga mara moja. Nyakati zimebadilika na watazoea tu au basi wakatafute mahali pengine pa kunyonya...
Hahaha mkuu naona unapata shida ya kifikra kidogo kuhusu hawa girls na Trust.Misemo