I got no comment brotherHahaha mkuu naona unapata shida ya kifikra kidogo kuhusu hawa girls na Trust.
Mnyama hatari duniani...
Good morning MkuuGood morning Mzee wa liver
ISIS
Good morning my love sister.Utafiti wa aina hii ulifanywa pia na Chuo Cha Luebeck na kubainisha kuwa akili huongezewa uwezo mara tufu kwa kutunza kumbukumbu pale mtu anapokuwa analala usingizi mnono. 7. TUMIA MUZIKI Muziki unatajwa kuwa na faida katika kumsaidia mtu kukumbuka mambo yaliyopita, inawezekana kabisa kwa kupita wimbo ukakumbuka mambo ambayo uliyafanya siku za nyuma. Hivyo kuufurahisha mwili kwa kucheza muziki, kusikiliza nyimbo, kunaweza kuongeza uwezo wa mtu kukumbuka mambo.