Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha mkuu naona unapata shida ya kifikra kidogo kuhusu hawa girls na Trust.
Kwa huu muda acha nimlee mtoto wangu kwanza mana hawa viumbe wanaweza
Nina mengi ya kichangia kwenye hili
Lakini Leo ni Siku ya ibada
Naingia kwa ibada muda si mrefu
Jana Chelsea kapigwa
At least nimepata draw
Man u naye anapigwa Leo
Sitaki kuharibu Siku
 
Mzee baba nimekukubali upo online masaa 72.
😀
Kuna tatizo hata nikikaa online decade nzima? Mzee baba my foot [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2774de1076cebdd47ca7edcaea13369b.jpg
 
One of the most beautiful cities in the World, but we need proper INFRASTRUCTURE ASAP we need good administration that respect the law of the land and its people. Otherwise all investors will find a better place to lay their eggs.

Hivi karibuni nilikuwa naongea na mama mmoja maarufu sana jijini Dar jina kapuni. Akaniambia wateja wake wengi sana ambao walikuwa wanamlipa kwa $ wameingia mitini (wameondoka nchini) katika miezi 12 iliyopita baada ya kuwa na wasi wasi na new administration, na biashara yake ambayo hakutegemea hata siku moja iyumbe sasa inayumba. Something must be done very soon to change the direction of our beloved country before it is too late.

AMUN RA
Hayo ndiyo mageuzi yenyewe!
Wafanya biashara wengi imetugusa!
Lakini penye mageuzi ndivyo ilivyo, hata wana Wa Israel nao pia yaliwakuta na uwo ni mfumo wa maisha ya binadamu!
Ile hali ya pesa nyingi ilikuwa ni fake way kabisa!
Yaani my brother tulikuwa tunamuuwa MAMA YETU TANZANIA bila kujua kwa ajili ya matumbo yetu binafsi ya chakula cha mchana alafu usiku hujui utakula nini na watoto hujui watakula nini, wajukuu sijui watakula nini na kulala wapi!
My friend and my brother tulikokuwa tuna elekea siko kabisa brother!
TUMSHUKURU SANA SANA MWENYE ENZI MUNGU KWA AJILI YA AWAMU HII YA TANO!
Kama NENO LA MUNGU LISEMAVYO: NITAKUOKOA WEWE NA NCHI YAKO!
Hivyo my brother kuwa mtu wa positive, utapata new ideas!
Usikubali kubaki jangwani kama kina HARUNI, MARIAM NA MUSA !
KUWA KAMA JOSHUA NA KALEB!
Waliamini na wakavuka kwa MKONO WENYE NGUVU WA THE SUPREME MASTER CREATOR OF EVERYTHING!
THE ALMIGHTY ONE!
Have a blessed Sunday my brother!
 
Back
Top Bottom