Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Trust Trust Trust
Hii trust hii Mungu hatusaidie kwa kweli
You know who you love but you do not know who loves you.
Mwanaume ukiwa huna hela una hatari kubwa ya kukimbiwa na mwanamke kama ilivonitokea huko nyuma but ukiwa na hela sana huwezi jua huyo mwanamke uliyenaye kakupendea nini......
acha nilee mwanangu tu
 
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
 
 
MAMA TANZANIA ALIKUWA KAMA NG'OMBE MWENYE KISU KIKUBWA NDIYO ANAPATA BIG PIECE, KWENYE AWAMU ZILIZO PITA, siyo ya Mwalimu!
Nalia walahi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…