Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

0b7e950541077921a1003ed6b40cb476.jpg
 
Viashiria vya mwanamke kufika kileleni*



1.kama amevaa gauni litapeperuka kwa upepo

2.kama hajavaa koti ataanza kutetemeka

3.akiangalia chini ataona nyumba kama sisimizi

kupanda mlima yahitaji Moyo Sana nakuambia we Endelea tu kuwaza Ujinga ujinga ‍
 
JE WAJUA KUWA VIAZI VITAM HUONGEZA
HAMU YA KUFANYA MAPENZI NA KUSAIDIA
KUCHELEWA KUFIKA KILELE?

JINSI YA
KUTUMIA

(1) Chukua viazi vitamu vyembamba
vyenye rangi nyekundu

(2) usivimenye bali vioshe na uvichemshe kama vilivyo ... Hakikisha vimeiva na uviepue.

(3) Hakikisha unakula na maganda bila kutumia
kinywaji chochote!!

(4) Baada ya hapo tambua kuwa mapenzi ni hisia zako hivyo umejifunza kupika viazi vitamu na siyo tiba maana macho yalikutoka. kama una tatizo hilo muone Doctor.

(5) Usijione mpuuzi utakuwa umejifunza kitu si kila tiba unataka kujaribu
utakunywa Sumu
 
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda. Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni. Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake. Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.
 
10. AFYA Jambo la mwisho ambalo ni muhimu katika uimarishaji kumbukumbu za kichwani ni mtu kuwa na afya kwa maana ya kuhakikisha kuwa anatibiwa magonjwa yake na anakuwa mfuasi mzuri wa huduma za kitabibu kwa ajili ya kuuwesha mwili wake ufanye kazi kama unavyokusudia.
 
Back
Top Bottom