Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3395.JPG
 
Walijua nimetekwa na askari Polisi wakanitafuta vituo vyote vya polisi mpka kituo cha sitaki Shari
Mama alikwenda mpka mochuary
NAKWENDA ZIMBABWE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uko naona hakuna utekaji
Wimbo bora sana mkipata muda muusikilize
 
Hayo ndiyo mageuzi yenyewe!
Wafanya biashara wengi imetugusa!
Lakini penye mageuzi ndivyo ilivyo, hata wana Wa Israel nao pia yaliwakuta na uwo ni mfumo wa maisha ya binadamu!
Ile hali ya pesa nyingi ilikuwa ni fake way kabisa!
Yaani my brother tulikuwa tunamuuwa MAMA YETU TANZANIA bila kujua kwa ajili ya matumbo yetu binafsi ya chakula cha mchana alafu usiku hujui utakula nini na watoto hujui watakula nini, wajukuu sijui watakula nini na kulala wapi!
My friend and my brother tulikokuwa tuna elekea siko kabisa brother!
TUMSHUKURU SANA SANA MWENYE ENZI MUNGU KWA AJILI YA AWAMU HII YA TANO!
Kama NENO LA MUNGU LISEMAVYO: NITAKUOKOA WEWE NA NCHI YAKO!
Hivyo my brother kuwa mtu wa positive, utapata new ideas!
Usikubali kubaki jangwani kama kina HARUNI, MARIAM NA MUSA !
KUWA KAMA JOSHUA NA KALEB!
Waliamini na wakavuka kwa MKONO WENYE NGUVU WA THE SUPREME MASTER CREATOR OF EVERYTHING!
THE ALMIGHTY ONE!
Have a blessed Sunday my brother!
Well said my dear
 
Back
Top Bottom