Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Wanajituma haswa haswaNimewapenda Huddersfield town natamani Sheffield Wednesday na Sheffield united nao wapande daraja next season
Wanajituma haswa haswaNimewapenda Huddersfield town natamani Sheffield Wednesday na Sheffield united nao wapande daraja next season
Hongera pia SirKumbe cherie neisha ni mwana Chelsea mwenzangu? Hongera sana kwa kushabikia team bora
Yani last season huko championship nilikua nawakubali sana Huddersfield, Brighton na Sheffield Wednesday halafu league one ilikua ni Sheffield united,sasa Sheffield united wamepanda championship hop to see them EPL next season,aisee wanakanyaga ngozi haswaWanajituma haswa haswa
Sana leo ni pointi tatu hatutaki maneno mengiKweeeeeemaaaaaaaa????!!
Dah mtoto mtamu sana inaonekana, yaan hata nimkute uzeeni naoa walah [emoji39]Rihana amekuwa chizi kabisa!