Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rihana amekuwa chizi kabisa!

"Kadooment Day" ni maadhimisho yanayofanywa kila jumatatu ya mwanzo wa mwezi wa 8 uko kwenye kisiwa cha Barbados.
63fefba8e6c5061d529a8350eb63f499.jpg

Hii ni siku kubwa sana uko kwao na inavutia watalii wengi kwenda kuangalia jinsi wanavyosherekea hizo tamaduni zao.
 
HABARI NJEMA KWA WATUMISHI WA UMMA KUHUSU MADARAJA!

SERIKALI imetoa ufafanuzi RASMI kuhusu MADARAJA hii LEO. Kwa kuzingatia hali halisi ya nchi yetu na ukuaji wa uchumi pamoja na kuimarika kwa shilingi dhidi ya DOLA YA MAREKANI, Serikali inapenda kutoa ufafanuzi MADARAJA kama ifutavyo:

1. Daraja la Mkapa - lipo Mto Rufiji kupitia KIBITI.

2. Daraja la Kikwete - Lipo Mto Malagarasi huko Kigoma.

3. Daraja la Mwl Nyerere - lipo Bahari ya Hindi, unavuka kwenda Wilaya mpya ya Kigamboni.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Watumishi wa Umma mnashauriwa kuwa wastahimilivu mnapovuka madaraja hayo ambayo ni viashiria vya maendeleo ya nchi yetu kwani mengine ni marefu sana!!! [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji16][emoji16]
Asante
 
Back
Top Bottom