Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Na hawa New Castle vipi?Yani last season huko championship nilikua nawakubali sana Huddersfield, Brighton na Sheffield Wednesday halafu league one ilikua ni Sheffield united,sasa Sheffield united wamepanda championship hop to see them EPL next season,aisee wanakanyaga ngozi haswa
Sijui hilo lakini kuna uwezekanoUyu Steve Mounie atakua na undugu na Fish Mounie[emoji23][emoji23]
One thing about Rihanna anajikubali na mwili wake hajajiongeza wala nini.Great.Rihana amekuwa chizi kabisa!
NopeOne thing about Rihanna anajikubali na mwili wake hajajiongeza wala nini.Great.
Rihana amekuwa chizi kabisa!
Newcastle ni case studyNa hawa New Castle vipi?
AsanteHABARI NJEMA KWA WATUMISHI WA UMMA KUHUSU MADARAJA!
SERIKALI imetoa ufafanuzi RASMI kuhusu MADARAJA hii LEO. Kwa kuzingatia hali halisi ya nchi yetu na ukuaji wa uchumi pamoja na kuimarika kwa shilingi dhidi ya DOLA YA MAREKANI, Serikali inapenda kutoa ufafanuzi MADARAJA kama ifutavyo:
1. Daraja la Mkapa - lipo Mto Rufiji kupitia KIBITI.
2. Daraja la Kikwete - Lipo Mto Malagarasi huko Kigoma.
3. Daraja la Mwl Nyerere - lipo Bahari ya Hindi, unavuka kwenda Wilaya mpya ya Kigamboni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Watumishi wa Umma mnashauriwa kuwa wastahimilivu mnapovuka madaraja hayo ambayo ni viashiria vya maendeleo ya nchi yetu kwani mengine ni marefu sana!!! [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji16][emoji16]
Benitez bored na usajili hakupata vifaa vya maanaNewcastle ni case study
Hao niliwapenda sana mana kwa muda mrefu hawajapanda ligi kuu,mfano Brighton toka 1984 so ukiona amepanda inakua ni amazing feeling