Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
H563
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duHABARI NJEMA KWA WATUMISHI WA UMMA KUHUSU MADARAJA!
SERIKALI imetoa ufafanuzi RASMI kuhusu MADARAJA hii LEO. Kwa kuzingatia hali halisi ya nchi yetu na ukuaji wa uchumi pamoja na kuimarika kwa shilingi dhidi ya DOLA YA MAREKANI, Serikali inapenda kutoa ufafanuzi MADARAJA kama ifutavyo:
1. Daraja la Mkapa - lipo Mto Rufiji kupitia KIBITI.
2. Daraja la Kikwete - Lipo Mto Malagarasi huko Kigoma.
3. Daraja la Mwl Nyerere - lipo Bahari ya Hindi, unavuka kwenda Wilaya mpya ya Kigamboni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Watumishi wa Umma mnashauriwa kuwa wastahimilivu mnapovuka madaraja hayo ambayo ni viashiria vya maendeleo ya nchi yetu kwani mengine ni marefu sana!!! [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]