Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

549ee2b80f452fecd3e83c25ca8ae935.jpg
I see both of them[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Hivyo, kwa kipindi hiki ni muhimu kuvaa viatu vitakavyokuwezesha kukimbia kwa muda mfupi bila kudhuru misuli.

Cheskin anaenda mbali zaidi kwa kutaja mazoezi mengine kuwa ni Kutembea haraka. Anasema ni njia mojawapo rahisi kufanya mazoezi.

Anashauri kuwa siyo lazima kutembea kwa umbali mrefu inaweza kuwa ni kilometa nne kwa saa kama unapata muda wa kufanya hivyo.
 
Cheskin anasema kuwa kuogelea pia ni njia mojawapo ya kufanya mazoezi huku ukifurahia sikukuu, kwa kuwa kunafanya viungo vinyumbulike, na kunaweza kufanya moyo wako uwe na afya nzuri. Kwa sababu kuogelea hakuwezi kuumiza mwili, mara nyingi inapendekezwa watu wenye ugonjwa wa yabisi-kavu, matatizo ya mgongo, wazito kupita kiasi, na wanawake wajawazito waogelee.
 
Anasema kama unapata nafasi ni vema kuruka hata kwa mizunguko miwili mitatu, kwa kuwa huboresha mzunguko wa damu na wa limfu, huongeza uwezo wa moyo na mapafu, na kuboresha misuli, usawaziko, na upatano wa viungo vya mwili.
 
Back
Top Bottom