Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-13-11-36-14.png
 
Utafiti huu ni muhimu kwa kipindi hiki cha sikukuu, ambapo unaweza kufanya usafi kwenye bustani kwa dakika 10, ukaendesha baiskeli kwa dakika 10 na ni vema pia kupaki gari mbali kidogo na nyumbani kama kuna uwezekanao ili kuwe na mwendo kdogo hadi kulifikia usiopungua wa dakika 10.
 
Kitu cha muhimu kukifanya wakati huu pia ni kupunguza unywaji wa vilevi an soda na kuongeza kunywa maji kwa wingi.Angalizo hili linakuja kutokana na watu wengi kwa wakati huu kunywa sana vilevi na kusahau maji ambayo yatarudisha yale yaliyopotea wakati wa kufanya mazoezi mepesi kwani jasho hutoka kwa wingi.
 
Back
Top Bottom