Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Shukrani kwako,Tunafarijika kukuona tena humu...karibu
Myoya za siku mingiAmani IPO?
Dear Aunt,
Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu ana angalia TV. Sikufika mbali gari ghafla likazima, nikalazimika kutembea kwa miguu kurudi nyumbani nikamwambie mume wangu anisaidie. Nilipofika nyumbani sikuamini macho yangu baada kumkuta mume wangu na binti wa jirani yetu. Nilimkabiri mume wangu na kwa bahati nzuri kakubali makosa kuwa uhusiano wao una mwaka sasa, lakini cha ajabu amesema atalazimika kumuacha huyo binti pole pole ili asimchanganye kisaikolojia kwa kuwa bado mdogo. Je hii ni sawa? Nifanye nini? Naomba ushauri Mzee wangu
Fransiska wa Mwenge
JIBU
Binti yangu Fransiska,
Nimesoma kwa makini ujumbe wako, kitu ambacho nimekiona mara moja ni hili tatizo la gari kuzimika ghafla. Kwanini uendeshe gari na baada ya muda mfupi lizime? Hapa kuna matatizo kadha wa kadha ambayo yanaweza kuwa chanzo. Inawezekana plag mbovu au uchafu umeingia kwenye mrija unaopeleka mafuta kwenye injin. Au pengine ni tatizo la umeme, au fuel pump, ulicheki kama petroli ipo? Ikiwezekana waone mafundi warekebishe hivyo nilivyovitaja.
Nategemea ushauri huo utakusaidia mwanangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaaDear Aunt,

Rashidi Makame anakosaa
Goli pale
Mkuu uwe na Siku njema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee wa Tukuyu hapo da[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaWazungu bwana. Halafu akitafunwa utasikia eti breaking news. Breaking news gani katika mazingira haya?![]()
Aki-search jina lake ataona jinsi alivyokuwa anatafutwa karibu kila siku. Ndiyo uzuri wa uzi huu. Tumezoeana utafikiri tunafahamiana na mmoja wetu asipoonekana basi pengo lake linaonekana immediately. Tuendelee na upendo huu !!!Tunafarijika kukuona tena humu...karibu