Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Freekick goooooo Lukaku
Bakia kuwa mhasibu tu shemeji uhesabu hela. Hii kazi ya kuchoma sindano misambwanda huiwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee wewe!!!!
Cole worldManutd 1-0 West Ham
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huo ushauri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dear Aunt,
Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume wangu ana angalia TV. Sikufika mbali gari ghafla likazima, nikalazimika kutembea kwa miguu kurudi nyumbani nikamwambie mume wangu anisaidie. Nilipofika nyumbani sikuamini macho yangu baada kumkuta mume wangu na binti wa jirani yetu. Nilimkabiri mume wangu na kwa bahati nzuri kakubali makosa kuwa uhusiano wao una mwaka sasa, lakini cha ajabu amesema atalazimika kumuacha huyo binti pole pole ili asimchanganye kisaikolojia kwa kuwa bado mdogo. Je hii ni sawa? Nifanye nini? Naomba ushauri Mzee wangu
Fransiska wa Mwenge
JIBU
Binti yangu Fransiska,
Nimesoma kwa makini ujumbe wako, kitu ambacho nimekiona mara moja ni hili tatizo la gari kuzimika ghafla. Kwanini uendeshe gari na baada ya muda mfupi lizime? Hapa kuna matatizo kadha wa kadha ambayo yanaweza kuwa chanzo. Inawezekana plag mbovu au uchafu umeingia kwenye mrija unaopeleka mafuta kwenye injin. Au pengine ni tatizo la umeme, au fuel pump, ulicheki kama petroli ipo? Ikiwezekana waone mafundi warekebishe hivyo nilivyovitaja.
Nategemea ushauri huo utakusaidia mwanangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
DuHii ndoa hii mhhh. Si kwa mnuno huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Hahahha tupoView attachment 564920mpooo![emoji102][emoji102]
Nzuri naona Leo mzee atakutoa out maana Man U huku meno njeHabarini za jion mabibi na mabwana
Hakuna cha bure.. Tunakopeshwa kama zile Land Cruiser VX V8Ili iweje Mh? Nyie wabunge si mnapewa iPhones za bure nyinyi?
Hili sijui li pilau hili dah. Mpaka nimeshtuka kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko pori moja hivi vitu kama hivyo havipatikani daah[emoji22][emoji22][emoji22]