Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu naye mhh. Atakuja kufakamia hata mate ya walevi huyu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Mkuu Kichwa Kichafu.. Tulifeli kuacha kumchukua Lukaku naanza kupata mashaka sana pale darajani53' Romelu lukaku scores!
Man Utd 2 - 0 West ham utd
Hatari TuuuMkuu Kichafu Kichafu.. Tulifeli kuacha kumchukua Lukaku naanza kupata mashaka sana pale darajani
Baki huko huko hadi akili ikurudi kwanza [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Niko pori moja hivi vitu kama hivyo havipatikani daah[emoji22][emoji22][emoji22]
HahahahaahaNakushtaki polisi
Kwa kusababisha nitamani