HahahaPambana na hali yako mkuu. Maswali tata ya nini tena? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mchina habari ya kutekwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu jamaa kakausha tu hata hasemi kilichompata. Utafikiri Roma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimegundua kuwa unapenda raha kwahivyo rebrofroe riyem 0007 muketei de kamesoei Kama dola elfu 5 hiviYaani rahaaaaaaaa
Halafu Utamu.
Nawaza sijui na mimi nijiteke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aki-search jina lake ataona jinsi alivyokuwa anatafutwa karibu kila siku. Ndiyo uzuri wa uzi huu. Tumezoeana utafikiri tunafahamiana na mmoja wetu asipoonekana basi pengo lake linaonekana immediately. Tuendelee na upendo huu !!!