OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Izo kelele zao sio za sayari hii ....[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mechi moja utafikiri mmechukua ubingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Izo kelele zao sio za sayari hii ....[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mechi moja utafikiri mmechukua ubingwa
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Nimeziona kabisa zinadunda dunda likes zako ni za plastic kabisa
Hahhahaah
[emoji119] [emoji119]View attachment 565026
NGUVU ZA KIKE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unashangaa huko tu.
Mbona carbamazepine anatoa likes za plastic
Weka dawa hapa[emoji23][emoji23]Najua kutibia hiyo hali kwa miti shamba![emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Network hadi upande kwenye mti tena kwenye office ya mtendaji
Tulipambana tukaona hapa inabidi tupite mtaa wa pili ili kutimiza ndoto muulize ajax[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unajua mwaka Jana mlikuwa mtaa wa Sita tu
Teh teh teh nilisahau si unajua nilitumia vitu vile[emoji23] [emoji23]
Indeed mkuuMambo ya, I Found Someone!
4-0
Mkuu mbna umekimbia uzi wako manchester. ...Mmmhhhhh kweli ila ndege njema huonekana tangia asubuhi
IndeedWanasema symbol ya true friendship and love
Hahahaha huyo ni zaidi ya friend hawezi kufanya chochote. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tusiopenda mpira acha tupite hivi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mmiliki wa MicrosoftBill Gates