Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

b8d28d092905690843ef68faa32927d5.jpg
Hahahahaha dah long time sana nimeangalia hii
Western journey I think
 
Usafi wa nguo ni kitu ambacho wote kinatuhusu. Jambo ambalo nimegundua ni kwamba sio watu wote wanao jua kanuni za ufuaji nguo. Niligundua hili kutokana na watu wanao tusaidia majukumu yetu ya utunzaji nyumba ikijumlisha na usafi wa nguo , watu hao wanajulikana kama "house girls". Wengi wao hawajui kanunu za kufua nguo, hata ambao wamezaliwa mjini, tena Dar es salaam na wamekulia Dar es salaam bado hawakujua kanuni za kufua nguo.
Aya Mamaa tupe Darasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom