Yaani weweee[emoji23][emoji23]Mbona kimya hebu panda juu ya mti upate network kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
IndeedView attachment 565035View attachment 565037anaanzaje huyu kuwa na mabomu
[emoji23][emoji23][emoji23]za chumaUnajua carbamazepine anatoa likes za plastic
Analidai alikuwa shule sijui amepata suspension maana likizo bado auuniq naona leo ndio mmemwachia ho chi minh
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shimba shida watu wa Man U ndio wanakelele Jana liver wamekipiga lakini si uliona humu kimya tu
YUKO TOGETHERView attachment 565035View attachment 565037anaanzaje huyu kuwa na mabomu
Mmhh wote simba duuh![emoji54][emoji54]MATOKEO YA UCHAGUZI WA TFF LEO:
RAIS
1. Wailes Karia 95( simba)
MAKAMU WA RAIS
1. Marco Wambura 85(simba)
WAJUMBE WA KANDA
1 Salum Chama (simba)
2 Vedasto Lufano (simba)
3 Mbasha Matutu (simba)
4 Sarah Chalo (simba)
5 Issa Bukuku (simba)
6 Kenneth Pesambili (simba)
7 Elias Mwanjala (simba)
8 James Mhagama (simba)
9 Dastan Nkundi (simba)
10 Mohamed Abeil ( simba)
11 Francis Ndulane (simba)
12 Kharid Mohamed (simba)
13 Lameck Nyambaya (simba)
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji115]
Hii ni bahati mbaya, mpango, au....?
Nani kavamia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mechi moja utafikiri mmechukua ubingwa
Oy mkuu
Unajua ni mimi huyo[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Kana Bulimia nervosa haka ka manzi!
HahahaNa wasiwasi na ISIS anaweza kutulipua huku like zetu zikateketea
We ni muhimu zaidi ya EPLBabe EPL itakufariji[emoji6][emoji6][emoji6]
Man u au?[emoji23][emoji23][emoji23]Si unajua mpenzi wangu saiv
Ni nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]