myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes
Unatumia vinywaji gani leo funguka tu hata nikirudi mifuko empty.0-4[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana si kwa tulivyopetea hivi karibuni.Huu ni ushindi mnono kwa Manutd kwa kipindi cha miaka 3 hivi
Hahahahaha hapana my princessYaani itabidi tutafute uzi wetu kipindi hiki wanatunyanyasa kwakweli
Ha ha leo kuwa milioni 7 kwa kila mtanzaniaNoah zimepotea
Mbona kimya hebu panda juu ya mti upate network kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmhh[emoji54][emoji54][emoji54]
+753GYH753
Njema kabisa mkuu
Nimeona kwenye social media Leo mpka samaki wa plasticNaweza kupata AK 47 na mchele wa kichina? Ha ha ha ha [emoji15] [emoji15]
Utani jamani..
Hahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Red in redMichael Bolton
Kwani lini mwisho kuonana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeh tangu juzi?haya wantafutia nini[emoji6][emoji6]