Nakuona jakitooAbee kk
0-4[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipe matokeo kwanza maana nimesahau kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maneno Tuuu HayoLeo mmebahatisha basi unariiiiinga[emoji57][emoji57][emoji57]acha nikatafute kaburi mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maneno yote yataisha leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha jana nilikutafuta sana humu maana daraja lilivunjwa[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Halafu weweeee...
Taarifa tumeziminya kwa sasaUpdates za makinikia zikoje mwenye taarifa
Kisa tu.....[emoji23][emoji23][emoji23]Mambo mazuri sana leo
Jambo Zuri Sana HiliHahahahaha
Numbisa Mimi napata chakula bora kila siku
Hahahahaha unajua sikuamini first half ilikuwa kweli au laa.Conte.. Anasema ana wachezaji wachache, sidhani kama ni sahihi hoja yake
Jana nililala mapema mkuu Kichwa matokeo hayakuwa rafiki