mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Naweka kumbukumbuMakofi kwa Rashford tafadhali
Rashidi Makame
Naweka kumbukumbuMakofi kwa Rashford tafadhali
Sijui nitakuwaje, au nitafanyeje sijui kwa kweliIla tu mwambie bwana mdogo ajue ulipo vinginevyo humu hakutakalika.
Au mwambie Mzee wa Tukuyu afanye yake halafu uone kama tutakusikia tena - hasa kama una msambwanda [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji6] [emoji6] [emoji6]Mimi
Duh! Nimesoma vibaya. Nilidhani mijibaba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mijibapa ka mi3 hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Msimu huu tunaaminika mkuuMbona una wasiwasi inamaana hawaaminiki? Man United
Updates za makinikia zikoje mwenye taarifaTushirikishane kwenye makinikia
Zipo sema unataka ngapi ak 47Naweza kupata AK 47 na mchele wa kichina? Ha ha ha ha [emoji15] [emoji15]
Utani jamani..
Gr8 my loveMy Queen Siku imeishaje
Hakuna vurugu hapa, labda kule bungeni kwenye kuwatoa wabunge wenye kuwasilisha zenye mantikiAmbao siyo washabiki wa mpira tufanyeje? Naona vurugu tupu. Carba toa maoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]humjui tu mzee wa tukuyu akinikalia kooni nashindwa hata kupumua
Kwa kweli itabidi tufanye hivyo !!!Yaani itabidi tutafute uzi wetu kipindi hiki wanatunyanyasa kwakweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]mijibaba mi3 tena?si ntakufa mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh! Nimesoma vibaya. Nilidhani mijibaba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]