Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Broo.Ambao siyo washabiki wa mpira tufanyeje? Naona vurugu tupu. Carba toa maoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Broo.Ambao siyo washabiki wa mpira tufanyeje? Naona vurugu tupu. Carba toa maoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio karibuHello hapo ni Kibiti?
Yaani itabidi tutafute uzi wetu kipindi hiki wanatunyanyasa kwakweliAmbao siyo washabiki wa mpira tufanyeje? Naona vurugu tupu. Carba toa maoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema leo wataka nini nasubiri bill nilipeHa wa yuuuuuniii
Jumapili imeendaje?
[emoji22][emoji22][emoji22]Nita left ujue ukijiteka
HahahahahaMi namwangalia DAB hapo mbele
![]()
Mambo mazuri sana leo
Ilikuwa poa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa tukuyu hafai yuleIla tu mwambie bwana mdogo ajue ulipo vinginevyo humu hakutakalika.
Au mwambie Mzee wa Tukuyu afanye yake halafu uone kama tutakusikia tena - hasa kama una msambwanda [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Siku imeenda poa sana
Unantafuta na nini?[emoji23][emoji23][emoji23]Nakutafuta