Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nikirudi kwa kasi ambayo si ya nchi hii
Ukitoka tu basi kutadorora au waenda kumshtua jembekilo ili azame uwanjani?Nitarudi
Kutembelea jukwaa hilo waweza pata kiharusi au vidonda vya tumbo. Maana nyumbuz na fisiz ni shidaaSiasa. Mafisi vs Manyumbu. Something like that [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitarudi mkuu mida mizuri naona wengi saivi wapo njiani kurudi homeKichwa kichafu ukiwepo mkuu bac kasi inakuwa ni ya ajabu mno
Usikate tamaa kirahisiMmenishinda kwa kweli.
Anapishana na gari limejaa LIKESUsikate tamaa kirahisi
Asante mkuupoleni wooote
Heshima kidogo mkuu. Siyo mnyama huyu ati! AMEFARIKI...AMEKATA ROHO. AMETUACHA. AMETANGULIA...and above all kamata likes...Amekufa lini jamani?
Ahsante mkuu. Nani katutoka?Poleni wana jangwani kwa msiba mzito mliopata