Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Natural black hyo naisaka sana blackSi mchezo
Natural black hyo naisaka sana blackSi mchezo
Sema tume mute tu jitokeze tu nakuchapa LIKEHahahaaa tunaonana kumbe!
Storm of LIKESStorm of the century ya likes
Wapi hiyoKaribu
Haki yako ya msingi kikatiba mkuu chukua like zako aisee samahani kwa kuchelewa kuziletaUmekula like za kutosha aisee, nipatieni na mimi nishagawa mno
Huyo kama ww ulivo humu kweny like u just find yourself in hereKazi ngumu kama hiyo akishauza tu safari kwenda kuwahonga wanaume!!!
Hata watambike namna gani. Niliamka siku moja ghetto kufungua mlango nikakutana na mama mmoja ana kijeneza kidogo mlangoni. Nikampa likes nikarudi ndani nikachukua Bible yangu nikaisoma na kukemea. Hata sijui kilichompata...[emoji23][emoji23][emoji23]Mwenye Enzi Mungu akisha kufungulia milango hakuna anaye weza kuifunga tena milele yote!
Mapovu kumtetea mwana siasaPovu tu la kupigania vyama
Kamata nyingine!Imeniponyoka aiseeh
Jibu zuri sanaMpaka kila MTU afikishe limit ya "LIKES" zilizowekwa humu JF.
Like tu mi sielewiKuleni likes
Ni ke, mwenyewe nilishangaaKumbe ni KE...?
nyundo nyundo nyundo za likeNyodo plus
Uzi wa viwanda vya likeTanzania ya viwanda
SuperLIKESupernatural