Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Karibu yakeKaribu
Karibu yakeKaribu
Yap! Aliwahi kunifundisha katika semina fulani huko mitaani. Genius yule mzee japo sasa uzee umemwelemea. Ukienda MIT utamkuta mara moja moja. Humble and simple.Umenikumbusha mbali kumtaja Avram Noam Chomsky mkuu...kula likes.
HizoooooooooooooPata hio[emoji106] [emoji106]
Sina akaunti ya Facebook. Kamata likes...
Itakuwa alikuwa mpandisha na mshusha bendera shule ya msingi huyuHuyu jamaa nadhani ndiyo anaipenda Tanzania kuliko Mtanzania ye yote. 24/7 amevaa bendera ya taifa kama siyo kofia basi scarf, shati, fulana, tai...Hongera mzalendo nambari wani!
Nzuri, karibu tenaHabari ya jioni wana Like
From unknown to infinityHuu uzi utaisha lini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizoooooooox2Hizooooooooooooo
Tulisema mpaka uombe poo!Wengine hawatoki humu duh!!!kweli mwajiweza[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Tukikwama, tunainuka,tunajifuta vumbi, tunasepaa upyaaaaaaa.Taratibu msikwamiwe
PamojaSongesha
Natural black hyo naisaka sana black