Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Viva Roma vivaaaaaa...Watekwaji wakionekana ni furaha kwetu sote shemeji. Kwema?Hahaaaaaa katoto kashule kametoroka. Nimefurahi kukuona tena. Kashfa nyingi zimetupata mimi na mama watoto Babe S kwajili yako
Nipo naangalia game hapa ila hali mbaya nimeanza kuumwa si kwa haya matokeo. [emoji22] [emoji22] [emoji22]Hujalala tu??
My hero !!!
Doooh!masikini pole eeh[emoji23][emoji23][emoji23]ila ukomeNipo naangalia game hapa ila hali mbaya nimeanza kuumwa si kwa haya matokeo. [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Huko Marekani wanasema eti alikuwa anatumia madawa na sasa wamembana hawezi kitu. Wanahangaika kuangalia back up samples zake za nyuma. Wengi wanasema si ajabu yakampata yaliyompata Armstrong - yule mfalme wa Tour de France...Thank you for the best memories UB, in our hearts you're still the Champ.
Heri nirudi tu humu hawa barcelona leo waniboa sana [emoji22] [emoji22]Doooh!masikini pole eeh[emoji23][emoji23][emoji23]ila ukome