Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Unajua lugha ya ki epl kwanza??[emoji28][emoji28]
Goodnight bro. Lala salama. Natumaini shemeji atakusaidia kupoza maumivu yako ya kufungwa. Bado kuna kesho !!!Ushaanza na wewe
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Wakuu kama viph 2morow
Kuna uzi unaitwa lyrics nd dedications entertainment kuleWapi uko my love nikaione hiyo faraja
Hapa yatakuja mapicha ya ajabu ajabu tu bora tusepe tu[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Usiku mwemah jamani naona inabidi nilale tu.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kuna mtu humu anaongea hiyo lugha [emoji23][emoji23]mtafute tu utamuonaWe nae, siku hizi kuna google translator bhana!
Rudi nikwambie kitu kizur[emoji38][emoji38][emoji38][emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Usiku mwemah jamani naona inabidi nilale tu.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
See you soonKuna uzi unaitwa lyrics nd dedications entertainment kule
Kuna mtu humu anaongea hiyo lugha [emoji23][emoji23]mtafute tu utamuona
Sijui niseme pole au......[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ubaya wa kuwa mpizani yaan siingii WhatsApp IG KOTE nimefunga mpaka simu iko silent nisipate saut ya notification
Nakuimbia na nyiimbo kabisa[emoji6][emoji6][emoji22] [emoji22] [emoji22]
Me ninakibarua cha kucheka tu hapa[emoji28][emoji28]Goodnight bro. Lala salama. Natumaini shemeji atakusaidia kupoza maumivu yako ya kufungwa. Bado kuna kesho !!!
Ila punguza mahaba na mpira...ukasome tu kimya urudi hapa ukitaka kujibu uje huku[emoji38][emoji38]See you soon
Ngoja niende maana we ndo faraja yangu ya pekee kabisa
Pambana wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Daa, huu mtihani sasa! Kuna watu zaidi ya 100K humu ujue! Basi nimeshindwa mie![emoji3]
Haya naomba mnisaidie ili huko mbele ya safari niweze kufuatilia mijadala ya mipira hapa vizuri. Wadau hawa wanashabikia timu gani?
Cherie =
Kichwa Kichafu =
Cole Williams =
Mzee wa Liver = Liverpool
Yegomasika =
BAK =
Ambiele Kiviele =
Rutashubanyuma =
Bob12 =
Carba = None
SYB = None
Wengine nitawafuatilia pole pole..