Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wanashauriwa kunywa maji ya moto kwa wale wasiopenda kunywa maji, kwa kuwa yakiwa ya uvuguvugu inakuwa nafuu kwao kunywa na wengine huambiwa waweke ndimu au limao siyo kama dawa bali kuyapa ladha ili waweze kunywa” anasema Shimwela.

Anaendelea kufafanua kuwa kama kuna wanaodharau kunywa maji wakiona ni kitu kidogo wanakosea sana kwa kuwa maji ni msaada hata unapopata tatizo la kiafya.
 
Anasema kuwa hata katika usagaji wa chakula maji husaidia, hivyo kama mhusika amekunywa maji atarahisisha kitendo hicho.

Dk Raymond Mwenesano wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, anasema kuwa kunywa maji ni muhimu kwa kila mwanadamu ili kurahisisha utendaji wa mwili ikiwamo mzunguko wa damu bila kujali ni moto au baridi.
 
Dk Mwenesano anazitaja faida za kunywa maji moto kuwa ni : Kuboresha uyeyushwaji wa chakula. Maji ya vuguvugu yakiwekwa limao, yanasaidia usafishaji wa tumbo, kuondoa sumu mwilini kupitia jasho, kusafisha pua na koo, kuboresha mzunguko wa damu , husaidia upatikanaji wa haja kubwa, kuongeza kinga mwilini endapo asali na limao vitaongezwa.
 
Back
Top Bottom