Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images(27).jpg
 
Hata Ukerewe? Nyie huko nilifikiri ni mamba tu? Unakwenda ziwani mjusi anakufuata njiani mkifika ziwani anageuka mamba na kukugeuza msosi. Kuna kisa kama hiki katika riwaya ya Gabriel Ruhumbika ya Janga Sugu la Wazawa.
Aiseeh!ningependa kusikia hiko kisa..ila nahisi na imani yetu ile ya kiafrika inahisika hapo
 
Anaitaja faida nyingine ya kunywa maji ya moto kuwa ni kutoa sumu zilizopo kwenye mishipa ya fahamu na kuisaidia figo kufanya kazi kikamilifu, tofauti na maji baridi ambayo yanagandisha na kuilazimisha figo kuyeyusha kwanza na kisha kuchuja
Naomba ufafanuzi ni maji ya moto haya ya moto au yale yaliokosa ubaridi?maana napata kigugumizi
 
Back
Top Bottom