myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
asante, uwe na baraka siku ya leo na siku zijazoNawakumbusha mchana msisahau kula
asante, uwe na baraka siku ya leo na siku zijazoNawakumbusha mchana msisahau kula
Na iwe hivyo na kwako pia...ukawe na siku yenye barakaMungu akujaalie upate makusudio yako jirani
asubuhi njema
Kama kawaida viporo vitamu sanaTutawahi viporo wenzio[emoji23][emoji23]
Kwani ulilala?
Amenasante, uwe na baraka siku ya leo na siku zijazo
aminNa iwe hivyo na kwako pia...ukawe na siku yenye baraka
Upate cha wali wa nazi na maharage ya nazi dooh[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Kama kawaida viporo vitamu sana
Sasa ukilala na zile tunguli zako kazi zinakuwaje tena?Jamani nisilale sasa kwani mi nimekuwa popo?[emoji3]
Yummy,kuna misosi mitamu jamanUpate cha wali wa nazi na maharage ya nazi dooh[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Acha kabisaYummy,kuna misosi mitamu jaman
Sasa ukilala na zile tunguli zako kazi zinakuwaje tena?
Mzima lakini?