Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Salama kabisa,za asubuhi?
Afu Nyie Mnautan Wa Ngum Sana NyieMi niko poa! Tunguli nazo kuna kipindi zinahitaji kupumzika, hasa wakati zikitafakari of who gonna be their next victim! Sasa kama vile radar inaelekeza kwako!
Karibu ipo kwa mama ntilie
Morning Bob
Acha nijiandae[emoji23][emoji23][emoji23]Mi niko poa! Tunguli nazo kuna kipindi zinahitaji kupumzika, hasa wakati zikitafakari of who gonna be their next victim! Sasa kama vile radar inaelekeza kwako!
Mkuu unaogopa tunguli[emoji28][emoji28][emoji28]
Yegomasika anataka kunipiga na tunguli zake