HahahaHeri nirudi tu humu hawa barcelona leo waniboa sana [emoji22] [emoji22]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siyo wa kuhurumia hawa shemeji. Litimu liko huko Ulaya na hulijui mbele wala nyuma wewe huko Kibiti hata kula huli eti Barcelona imefungwa. Hii sitakaa nielewe hata kidogo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]My ndugu mi usingizi wote wamechukua yaani iniesta kama kiungo wa ndondo cup
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji22] [emoji22] [emoji22]
Imenibidi nirudi youtube kustream goals za Man U labda naweza kupunguza maumivu haya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yan mimi nashindwa hata kushangaa kufungwa wafungwe wengine wewe ulie[emoji23][emoji23][emoji23]wapenda mpira mnisamehe tu
Salama kaka sijui wewe
Nimepata tunguli mpya kabisa njoo tu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]... On my way kuelekea hapo ulipo![emoji3]
Morning uniqMorning All
HahahaNipo naangalia marudio labda wanaweza kubadili matokeo wakashinda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Salama kabisa mtanzaniaHabari za asbh Watanzania
DuBasi ukae na superglue ya kugandisha moyo wako mkifungwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natafuta lile lako ulilokimbiwa na muhenga mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafukua tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]