[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uwezi jua nini wakati ndio matokeo
AbeeeeCarba....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe imetokea wapi tenaPenda Yanga upate raha duniani
Hahahahaha ndio mambo ya mpirabro unamuona ronaldo wadunia uyo
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] hiyo juu ni text ya mtu ambae hatujawasiliana kama mwezi hivi lakini baada ya kushinda ndo anaonekana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]BAK, naona kila mtu humu ana baby wake. Tufanye maarifa na sisi tupate wa kutuita babe aisee! Jamani nani single lady humu tualianzishe?[emoji3]
HahahaIla sisi tusiopenda mpira tutateseka sana. Na ligi tu ndi imeanza dah. Tutasavaivu vipi Carba?
Tunajadili ni vipi tutasavaivu kipindi hiki kigumu cha EPL maana mnatunyanyasa kweliHahaha
Shimba unasavaivu tu wala hakuna mada ni nyingi sana na mpira mara nyingi ni weekend
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kakishua kanamfaa kama hajagonga 25. Mwambie ajaribu bahati yake...
HahahahahaAsante bro kinacho Umiza zaidi unaona muda uliopoteza kuangalia kufungwa bora ungesaka likes. Tu
Ni ujinga mtupu
Zizi lipi moja wapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wafu wanazikana
Kwisha habari yenu,na mtu asikanyage kwenye zizi langu, namng'oa kiungo[emoji375] [emoji373]
[emoji23][emoji23][emoji23]kaburi hilo uniq....Zizi lipi moja wapo
Utawajua muda si mrefuHaya naomba mnisaidie ili huko mbele ya safari niweze kufuatilia mijadala ya mipira hapa vizuri. Wadau hawa wanashabikia timu gani?
Cherie =
Kichwa Kichafu =
Cole Williams =
Mzee wa Liver = Liverpool
Yegomasika =
BAK =
Ambiele Kiviele =
Rutashubanyuma =
Bob12 =
Carba = None
SYB = None
Wengine nitawafuatilia pole pole..