AminaNiwaombee uzima wale walio wagonjwa
Mlio safarini mkawe na safari njema
Mungu akapate kuwabariki kila mmoja wetu kwa nafasi yake
Na kwako piaasubuhi njema woote
AMUN RAKama jana ilikuwa siku ya majaribu na vikwazo,basi leo ikapate kuwa siku ya ushindi na baraka..
Tutumie vikwazo vyetu kama ngazi ya ushindi kwa siku ya leo
Mungu apate kuwa nasi sote,amin....
HahahahahaNa siku hizi ID za kike zilivyoshamiri sasa[emoji23][emoji23][emoji23]unatupia nondo kumbe dume lol!
Good morningGood morning
Mzee wa liver
ISIS
Daaaaaahhh Wakubwa WanafaidiAnayochezea Beckham,Roy,Giggs,Cole,...ila sijaangalia siku nyingi mpira.Halafu mpira wa nini wakati kuna kitu....![]()
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Nakula kwa machooo[emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444]
Wala si utajirikutoa ni moyo