Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.0.png
 
Jamaa kwa kuchoshwa na tabia ya mkewe iliyobadilika ghafla akaamua kumpleka kwa Padre ili amuelezee nini tatizo mambo yakawa hivi:

Padre: Mumeo analalamika umebadilika sana siku hizi nini tatizo?
Mke: Baba Padre tatizo ni hali ngumu ya maisha.. sio mimi
Padre:Fafanua..!

Mke:Unakuta asubuhi naenda kazini sina hela na inanibidi nichukue tax, nikifika kazini dereva anauliza unanilipa au tufanyeje? Me nachagua tufanyeje
Padre:tufanyeje ni nini?
Mke:kulala nae

Padre:Ooh endelea..!
Mke:Inafika wakati wa kula Sele akiniletea chakula nae anauliza unanilipa au tufanyeje? Me nachagua tufanyeje
Padre:Mmh aiseee..

Mke:Hata nkienda kwa dokta nae anauliza unanilipa au tufanyeje? Me nachagua tufanyeje
Padreuh..!!

Mke:hata wakati wa kurudi home nkichukua tax ni yale yale nachagua tufanyeje. ndo maana nkifika nyumbani sina hamu kabisa..

Padre: Aisee pole sana mwanangu, sasa tumwambie mumeo au tufanyeje??
Duh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo padre sijui andjul maana
 
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
nilitabiri kwamba huu uzi utakuja kuwa uzi wenye replies nyingi zaidi JF hautakaa utokee,naona umeupita kabisa hata uzi wetu wa Makapuku Forum, hongera sana Jembekillo u made a history...na bado
 
Back
Top Bottom