myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
biashara ujanja..Netscape walitamba, na kama vile Yahoo, wakazembea Bill Gates akaleta Internet Explorer, naye akazembea Google wakaleta Chrome na jamaa huru wakatupia Firefox. Ndivyo biashara zinavyokwenda hivyo. Ni lazima ku-adapt vinginevyo unakuwa extinct na kufilisika !!!