Hahahaaaa,kijana anaumiza macho yangu kweli,nami nang'ang'ania kuisoma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa signature yake inanifurahisha yaani marangirangi
Sijui anafanya Kazi Sadolin au Coral
Inasemekana hii ndiyo Windows bora kabisa.
Jambo la kheri,usisahau ile project ya samaki.... Nakukumbusha tuKwema mkuu
HIYO ENZI..Aiseee
Netscape walitamba, na kama vile Yahoo, wakazembea Bill Gates akaleta Internet Explorer, naye akazembea Google wakaleta Chrome na jamaa huru wakatupia Firefox. Ndivyo biashara zinavyokwenda hivyo. Ni lazima ku-adapt vinginevyo unakuwa extinct na kufilisika !!!
YUP!Inasemekana hii ndiyo Windows bora kabisa.
HahahahaDuh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo padre sijui andjul maana
HahahahaHahahaaaa,kijana anaumiza macho yangu kweli,nami nang'ang'ania kuisoma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]