andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hahahaha...nini shida mkuu?? Hangaika na ma likes huko.
Hahahaha...nini shida mkuu?? Hangaika na ma likes huko.
Stive MackmanamanStan collymore
Tutaonana Kesho asubuhi wapendwa.
Robie FowlerSteven james
Kila mlango na ufunguwo wake.
Kila mtoto na koja lake.
Kila mwamba ngoma ,ngozi huivuta kwake.
Hiyo ilikuwa Livepool ya ukweliStive Mackmanaman
Kila ndege huruka na mbawa zake.
Kilio huanza mfiwa ndipo wa mbali wakaingia.
Kimya kingi kina mshindo mkubwa.
Aisee hata mimiNakaribia kufukuzwa kazi
Kidole kimoja hakivunji chawa.
Les FerdinandHiyo ilikuwa Livepool ya ukweli