demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,294
Siku nyingine usiandike hivi....sisi wengine ni mashabiki wa Yanga....[emoji53][emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
Siku nyingine usiandike hivi....sisi wengine ni mashabiki wa Yanga....[emoji53][emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
Unapata likeNaona uzi umechangamka, unasaidia mtu iuandika lolote humu.
Oyeeeeeere
Kafiri akufaye si Isilamu asiyekufa.
Kanga hazai ugenini.
Kawaida ni kama sheria
Kawia ufike.
hatutaki pesa tunataka malike
Achana naye mpe like kwanzaSiku nyingine usiandike hivi....sisi wengine ni mashabiki wa Yanga....[emoji53]
Kelele za mlango haziniwasi usingizi.
Kenda karibu na kumi.
Kiburi si maungwana.
Kichango kuchangizana.
Ngoja nijipatie likes[emoji41][emoji119]
Heri kufa macho kuliko kufa moyo.
Heri kujikwa kidole kuliko ulimi.
Hiari ya shinda utumwa.