Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
I232
Mkuu Hilo si la kunikumbusha nalala naota nimalize hiyo kituJambo la kheri,usisahau ile project ya samaki.... Nakukumbusha tu
ninayo cd mpya kabisa.. kumbukumbuVersion ya kwanza kabisa hii nakumbuka sana
Kwa upande wangu huwa naona ni wa sebulen hasa wale wa vyumba viwili vitatu. Huku kwetu uswahilini jiko lipo nje😀😀😀Sio jikoni? Nimeona nyumba nyingi mlango unaotumika zaidi ni wa uani na unapitia jikoni ndo uende sebuleni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitakujuza nikimaliza project uje uangalieJambo la kheri,usisahau ile project ya samaki.... Nakukumbusha tu
Usisahau kuvuna mvuaNitakujuza nikimaliza project uje uangalie